GET /api/v0.1/hansard/entries/867550/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 867550,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/867550/?format=api",
    "text_counter": 436,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": " Asante sana, Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii kuchangia Hoja hii ambayo inaangazia walioteuliwa kwenye Tume hii. Kuna jambo ambalo limenifurahisha zaidi kutoka kwa mwanakamati ambaye amezungumza sasa hivi. Amesema waliangazia hawa wote ambao waliomba kazi hii na wakawaona ni watu wa tajriba kubwa. Hakika wanaweza kufanya kazi nzuri ili kutoa mchango mkubwa katika Serikali yetu ya Kenya."
}