GET /api/v0.1/hansard/entries/867551/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 867551,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/867551/?format=api",
"text_counter": 437,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Nimeiona kazi ambayo dada Charity alishiriki wakati wa nyuma. Tuliona akifanya kazi kwa njia nzuri. Vile, Balozi Salma alikuwa akifanya kazi kama balozi. Tumeiona kazi yake. Alitoa mchango mkubwa sana katika nchi hii ya Kenya. Kwa hivyo, naunga mkono Hoja hii na kupongeza Kamati hii. Tutapitisha wale ambao wamefanyiwa vetting ili waanze kazi na kutoa mchango katika Serikali yetu ya Kenya."
}