GET /api/v0.1/hansard/entries/867552/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 867552,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/867552/?format=api",
"text_counter": 438,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili nichangie katika mambo haya. Narudia kusema kuwa ni lazima Kamati iangalie vigezo fulani ambavyo vimetajwa. Waheshimiwa wenzangu wanaweze kuangalia hali ya vijana na walemavu. Pia, nasihi vijana na walemavu watume maombi wakati nafasi kama hizi zinapotangazwa. Sharti maombi yao yaambatane na zile kanuni ambazo zitahitajika."
}