GET /api/v0.1/hansard/entries/868852/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 868852,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/868852/?format=api",
    "text_counter": 283,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Ningependa kuungana na wenzangu kuunga mkono mapendekezo haya ya namna fedha za umma zitadhibitiwa kiumakini na kiuangalifu. Kwa kweli, hili ni suala nyeti. Tunapolizungumzia ni lazima tulifahamu kwa namna zote. Kwanza, nataka tufahamu takribani asilimia 25 za fedha zinazopatikana kutokana na mapato ya nchi zinaelekezwa kwa serikali za kaunti. Hivyo basi kuna umuhimu wa kuwa na mwongozo kuhusiana na pesa hizi wakati Serikali inazipeana kwa kaunti."
}