GET /api/v0.1/hansard/entries/868854/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 868854,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/868854/?format=api",
    "text_counter": 285,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Utakubaliana nami kwamba matatizo haya yanapatikana kwa wahusika wakuu wanaoendesha mwongozo kama huu ambao tunaujadili hapa Bungeni. Ni matumaini yangu makubwa na nina imani kwamba kama mwongozo huu utafuatwa kikamilifu na vile unavyotakikana, basi fedha za umma zitadhibitika na matarajio makubwa ya wananchi yatapatikana."
}