GET /api/v0.1/hansard/entries/868856/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 868856,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/868856/?format=api",
    "text_counter": 287,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "kwamba tumetembea na mwongozo huu kikamilifu. Tusilete mvutano kati ya wahusika na kaunti. Kuna wakati pengine mkandarasi amefanya kazi yake kwa utaratibu lakini inapofika wakati wa kulipwa, kwa sababu ya vigezo hivyo ambavyo tumeweka hapa, serikali ya kaunti inasema kwamba utaratibu ndio una matatizo. Hivyo basi, mkandarasi anachelewa kupewa pesa zake kwa sababu kama hiyo. Ninaamini kwamba ni mwongozo mzuri. Wakenya wanahitaji huduma bora. Mbali na hayo, ninaamini pakubwa huduma hizi zitapakitana ikiwa kutakuwa na mwongozo kamilifu na viongozi husika wataweza kumakinika na kuhakikisha wamekubali kufuata utaratibu na sharia zilizowekwa."
}