GET /api/v0.1/hansard/entries/872797/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 872797,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/872797/?format=api",
    "text_counter": 410,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kwanza mimi nilikuwa Mwenyekiti wa Kamati hii ya kuangalia hasa zaidi mambo ya wafanyikazi wa kaunti katika Bunge lililopita. Ukizingatia zaidi, utaona kwamba ni jambo la aibu hivi sasa tunapoongea. Ni aibu kubwa sana kwa Bunge la Seneti kujadili Mswada huu ambao haukuanzia hapa katika Bunge la Seneti. Ni kwa sababu haiwezekani kuwa tutakuwa na mambo yakiendelea katika serikali za mashinani hasa ikizingatia sana pesa za wafanyikazi ambao wamestaafu. Hicho ni kitu ambacho lazima kianzie hapa."
}