GET /api/v0.1/hansard/entries/872798/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 872798,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/872798/?format=api",
    "text_counter": 411,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, mimi mwenyewe nikiwa Mwenyekiti, nilianzisha Mswada huu hapa na tukaenda nao mpaka mwisho. Wakati ukatupata na kukawa na vikwazo vile ambavyo ndugu zangu wamesema, ya kwamba kunazo interests tofauti ama kunao watu wenye nafsi zao tofauti, na tulifika pale karibu na Mto Jordan halafu tukaona mamba wengi sana. Ikabidi sasa haiwezi kuvukika."
}