GET /api/v0.1/hansard/entries/872801/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 872801,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/872801/?format=api",
"text_counter": 414,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Kitu muhimu katika Mswada huu ni sisi sote kama Wakenya na Maseneta ndani ya Bunge la Seneti, kuzingatia ya kwamba sisi tukilumbana au kushindana, watakaoumia ni wafanyikazi ndani ya serikali za mashinani katika kaunti. Lengo la Mswada huu ni kuona kwamba tumeweka pesa zao sawa sawa na kuwa kuna mikakati bora ya kuona The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}