GET /api/v0.1/hansard/entries/872811/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 872811,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/872811/?format=api",
"text_counter": 424,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": ". Asante Bi. Spika wa Muda. Nina Hoja ya nidhamu. Je itakuwa sawa kwa Mwenyekiti kuweza kufafanua kwa kutumia lugha inayoeleweka anaposema kwamba haina haja ya Sen. Halake kuuliza ni kwa nini huu Mswada ulianza katika Bunge la Kitaifa na kuja Bunge la Seneti na tukaukubali? Hilo ni swala ambalo ni sharti bwana Mwenyekiti alijibu sasa hivi au katika mchango kwa huu Mswada. Je ni haki kwetu kujadiliana Mswada huu ambao hatukuuanza? Tunataka kujua ni kwa sababu gani."
}