GET /api/v0.1/hansard/entries/872845/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 872845,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/872845/?format=api",
"text_counter": 458,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Kuna jambo moja tu ambalo nilikuwa nataka kujua: Ikiwa kuna Mswada ambao tunaujadili kutoka katika Bunge la Kitaifa; na vile vile Kamati yetu ya Seneti imetengeneza Mswada kama huo, nataka kumwuuliza ndugu yangu, Mwenyekiti, ambaye anasema kwamba ni sharti ule Mswada wake utakuja kujadiliwa, kwamba, Kiongozi wa walio Wengi ndani ya Bunge la Seneti hatoweza kukubali kabisa ikiwa yeye ndiye aliyeleta Mswada huu hapa."
}