GET /api/v0.1/hansard/entries/872846/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 872846,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/872846/?format=api",
    "text_counter": 459,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Hivi leo, Mwenyekiti wangu anatuambia kwamba atakuwa na uwezo wa kuleta Mswada huo huo; maneno ni hayo hayo, sheria ni hiyo hiyo, na kila kitu ni hicho hicho. Hatutamkubalia Kiongozi wa Wengi wa Seneti, Sen. Murkomen, hapa ndani ya Bunge hili la Seneti. Huo ndio ukweli wa mambo."
}