GET /api/v0.1/hansard/entries/873837/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873837,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873837/?format=api",
    "text_counter": 120,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": " Asante sana, Naibu Spika. Naomba kuendeleza Hoja ifuatayo: KWAMBA, tukitambua kuwa Ibara ya 43 ya Katiba imebainisha kuwa kila mtu ana haki ya kupata kiwango bora zaidi cha afya kinachojumuisha haki ya kupata matunzo ya kiafya na kutonyimwa matibabu ya dharura; aidha, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}