GET /api/v0.1/hansard/entries/873841/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873841,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873841/?format=api",
"text_counter": 124,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": "Tunaposema visa vya maradhi vinatokana na usimami mbovu, utaona maskini ambao ni asilimia kubwa nchini Kenya, wanapokuwa wagonjwa, wanakimbilia mambo ya ajabu, ajabu. Kwa mfano, maskini akiwa mgonjwa na hawezi kupata pesa za kukimbia hospitalini, yeye atakimbia kwa waganga ajaribu kugangwa kule ili apate matibabu kwa sababu hana pesa za kwenda hospitalini."
}