GET /api/v0.1/hansard/entries/873842/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873842,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873842/?format=api",
"text_counter": 125,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": "Pili, madaktari wa kienyeji - tunawaita madaktari miti shamba - asilimia kubwa inaamini ya kwamba wanaweza kupambana na visa mbali mbali vya kiafia. Tatu, kuna madaktari gushi. Tunaona katika vyombo vya habari na kushuhudia ya kwamba kuna madaktari gushi ambao hawajasomea taaluma hiyo na wanaenda mitaani na kufungua kliniki ovyo ovyo na kutibu watu bila ya leseni inayotakikana."
}