GET /api/v0.1/hansard/entries/873843/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873843,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873843/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": "Lingine ni kwamba maskini huashiria kujitibu, maskini labda ana saratani na hajui. Lakini anaona dawa yake ya kipekee ya kupona ni kununua tembe ya Panadol ajigange polepole nyumbani kwa sababu hana nguvu za kufikia hospitali. Mwisho, nyingine nitazungumzia ni viongozi wa dini. Siku hizi tumekuwa na viongozi ambao badala ya kuhubiri neno, wanahubiri meno. Kazi yao sasa ni kudaganya wananchi na kuwapa imani ya kwamba wanaweza watibu, na hivyo basi kuwachezea."
}