GET /api/v0.1/hansard/entries/873844/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873844,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873844/?format=api",
"text_counter": 127,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": "Ukosefu wa taaluma ndiyo umetuletea matatizo haya yote. Ndiyo unaosababisha maafa mengi katika hospitali na uhaba wa vifaa vya matibabu. Mwaka uliyopita niliweza kusimama ndani ya Bunge hili na kusema maswala mengi kuhusiana na madaktari, magonjwa na vile vile uhaba mkubwa wa madaktari nchini Kenya. Pia, nilisimama katika Bunge hili na kusema ya kwamba saratani ambayo ni ya tatu nchini Kenya kusababisha vifo, hadi wa leo hatujafikiria kuweza kupambana nayo. Hii ni kwa sababu sisi tuna madaktari 23 wa saratani Kenya nzima, kwa Wakenya milioni 45."
}