GET /api/v0.1/hansard/entries/873855/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873855,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873855/?format=api",
"text_counter": 138,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kiambu, JP",
"speaker_title": "Hon. Jude Njomo",
"speaker": {
"id": 1784,
"legal_name": "Jude L. Kangethe Njomo",
"slug": "jude-l-kangethe-njomo"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika, kwa unyenyekevu, ningependa kumkosoa rafiki yangu kuwa Bunge hili ndilo linalotengeneza bajeti ya nchi. Liko na wajibu wa kujua pesa zitakazoenda kwa afya na kwa NYS. Tusiweke mambo hayo kwa Serikali. Serikali inaweza kuleta mapendekezo yake lakini ni wajibu wa Bunge hili kutengeneza bajeti ya nchi na kutoa pesa kwa NYS na kuweka pesa kwa afya kama Bunge hili linaona ni sawa."
}