GET /api/v0.1/hansard/entries/873864/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873864,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873864/?format=api",
    "text_counter": 147,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru Town East, JP",
    "speaker_title": "Hon. David Gikaria",
    "speaker": {
        "id": 2489,
        "legal_name": "David Gikaria",
        "slug": "david-gikaria"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Ningependa unipe mwelekezo. Nilikuja hapa mapema sana na nikabonyeza kidude ili niweze kuunga mkono Hoja hii lakini wakati kidude cha ndugu yangu kilipokataa kufanya kazi, akaja kwangu na kidude changu kikazima. Nilikuwa pale juu na sasa nimepotea. Nina mkutano hivi karibuni. Utanielekeza itakuwa vipi."
}