GET /api/v0.1/hansard/entries/873869/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873869,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873869/?format=api",
    "text_counter": 152,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nandi CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Tecla Tum",
    "speaker": {
        "id": 913,
        "legal_name": "Tum Tecla Chebet",
        "slug": "tum-tecla-chebet"
    },
    "content": "Kama Waheshimiwa, tunahudhuria harambee kama 10 na wakati mwingine tunakopa pesa ili tuhudhurie harambee kwa sababu hatuwezi kuona watu wetu wakikaa katika chumba cha kuhifadhia maiti kwa sababu hawana pesa. Kuna ajenda nne za Serikali na moja ya hizo ni kuwa na universal healthcare ."
}