GET /api/v0.1/hansard/entries/873871/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873871,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873871/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nandi CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Tecla Tum",
"speaker": {
"id": 913,
"legal_name": "Tum Tecla Chebet",
"slug": "tum-tecla-chebet"
},
"content": " Kama hatutawalipia watu hao gharama za matibabu katika hospitali za umma za rufaa, watazidi kukaa katika vyumba vya kuhifadhia maiti. Kama nchi ya Kenya, tutazidi kujenga vyumba vya kuhifadhia maiti na hatutakuwa nchi tukufu. Kwa hivyo, tunataka kufanya yale mambo ambayo yanatakikana katika Hoja hii."
}