GET /api/v0.1/hansard/entries/873877/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873877,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873877/?format=api",
"text_counter": 160,
"type": "speech",
"speaker_name": "Butere, ANC",
"speaker_title": "Hon. Nicholas Mwale",
"speaker": {
"id": 13311,
"legal_name": "Nicholas Scott Tindi Mwale",
"slug": "nicholas-scott-tindi-mwale"
},
"content": " Asante, Mhe. Naibu wa Spika. Tuko na wagonjwa wengi ambao wako hospitalini na walipona lakini wasimamizi wa hospitali wamewazuia kutoka. Wanasema kwamba ni lazima walipe ada ambayo iko juu ili watoke. Wengi wa wagonjwa wanatoka mbali sana kwa sababu hospitali za rufaa ni chache nchni Kenya. Natoka Eneo Bunge la Butere. Mtu akitoka Butere anaenda hospitali ya rufaa ambayo iko Eldoret. Huko ni mbali sana. Utapata mpendwa wa mtu ama maiti imezuiliwa na ni lazima alipe ada ili mgonjwa aruhusiwe kwenda nyumbani ama maiti itolewe."
}