GET /api/v0.1/hansard/entries/873879/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873879,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873879/?format=api",
    "text_counter": 162,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Butere, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Nicholas Mwale",
    "speaker": {
        "id": 13311,
        "legal_name": "Nicholas Scott Tindi Mwale",
        "slug": "nicholas-scott-tindi-mwale"
    },
    "content": "Hospitali za rufaa nchini Kenya zina vyombo ambavyo viko na technologia ya juu zaidi. Kwa hivyo, Wakenya wengi wanakimbilia hizo hospitali. Wanapotibiwa katika hospitali hizi ama wamefiwa na miili imezuiliwa, inakua vigumu sana kwa Wakenya wa kawaida kutoa miili The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}