GET /api/v0.1/hansard/entries/873883/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873883,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873883/?format=api",
"text_counter": 166,
"type": "speech",
"speaker_name": "Meru CWR, Independent",
"speaker_title": "Hon (Ms.) Kawira Mwangaza",
"speaker": {
"id": 1325,
"legal_name": "Kawira Mwangaza Mwenda",
"slug": "kawira-mwangaza-mwenda"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Ningependa kumshukuru ndugu yangu sana kwa sababu ya kuileta Hoja hii ya kufutilia mbali ada za matibabu katika hospitali za umma za rufaa pindi mtu anapofariki. Ada ya matibabu katika hospitali zetu za umma ni nafuu lakini huduma ni mbaya sana."
}