GET /api/v0.1/hansard/entries/873896/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873896,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873896/?format=api",
    "text_counter": 179,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Chepalungu, CCM",
    "speaker_title": "Hon. Gideon Koske",
    "speaker": {
        "id": 13318,
        "legal_name": "Gideon Kimutai Koske",
        "slug": "gideon-kimutai-koske"
    },
    "content": "Tulichaguliwa na raia ambao waliamka asubuhi na kushinda kwa jua, kunyeshewa na mvua, kupigwa na baridi na kusimama kwenye giza ili waweze kushughulikia shida ambazo ziko mashinani. Magonjwa yamekuwa mengi sana karne hii. Idadi ya Wakenya imekuwa kubwa sana. Watu wetu wakipelekwa kwa hospitali za rufaa na wanafariki dunia kwa bahati mbaya, inakuwa shida sana kutoa miili yao kwenda kuzika."
}