GET /api/v0.1/hansard/entries/873909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873909,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873909/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Runyenjes, JP",
    "speaker_title": "Hon. Eric Njiru",
    "speaker": {
        "id": 2725,
        "legal_name": "Eric Muchangi Njiru",
        "slug": "eric-muchangi-njiru"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia fursa ya kuchangia Hoja hii ambayo imeletwa na mwenzetu, Mhe. Mohamed Ali. Ni kweli kwamba watu wanaoenda kutafuta matibabu kwa hospitali za umma, wengi wao ni maskini na hawajimudu kimaisha. Ni kweli kwamba kila wakati tunapotembea mashinani au vijijini tunakuta watu ambao wamepoteza wapendwa wao na wako kwa hospitali mbali mbali lakini wameshindwa kuwazika kwa sababu hawana pesa ya kulipa ada ya hospitali. Naunga mkono Hoja hii ndio watu waache kuuza mali yao ama ngombe zao ndio wapatiwe miili ya wafu wao. Tukipitisha Hoja hii, tutasaidia watu wengi sana ambao wanataabika kila wakati wanapofiwa. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}