GET /api/v0.1/hansard/entries/873917/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873917,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873917/?format=api",
"text_counter": 200,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru Town East, JP",
"speaker_title": "Hon. David Gikaria",
"speaker": {
"id": 2489,
"legal_name": "David Gikaria",
"slug": "david-gikaria"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Mwanzo nachukua nafasi hii kumshukuru ndugu yangu Mohamed Ali kwa kuileta Hoja hii ambayo ni ya maana sana kwa Bunge hili. Pili, nakushukuru kwa kunipatia nafasi ya kutoa maoni yangu kuhusiana na mambo haya. Mhe. Ali ametupatia takwimu. Namjua alipokuwa akifanya upelelezi kwa kipindi cha"
}