GET /api/v0.1/hansard/entries/873927/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873927,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873927/?format=api",
    "text_counter": 210,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ganze, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Teddy Mwambire",
    "speaker": {
        "id": 13334,
        "legal_name": "Teddy Ngumbao Mwambire",
        "slug": "teddy-ngumbao-mwambire-2"
    },
    "content": "utakuta kuwa waheshimiwa wengi, mimi nikiwa mmoja wao, tunazika watu zaidi ya ishirini kila juma. Kati yao, wale ambao wana uwezo ni mmoja na wengi ni wale ambao hawana uwezo. Utasaidia gharama ya kuhifadhi na kusafirisha mwili. Gharama kama hiyo huwa inagharimu pesa nyingi zaidi na waheshimiwa huwa tunakosa kujikimu. Wabunge wengi huwa masikini kwa sababu ya kujaribu kusaidia kule nyanjani. Nina uhakika kuwa kama swala hili litashughulikiwa, hata sisi Wabunge tutapata afueni na tutahakikisha kuwa wakaazi wetu wanatuelewa na hatutakua na hali ya kichochole kama ilivyo sasa. Asante, Mhe. Spika Naibu wa Muda. Ninaunga mkono Hoja hii."
}