GET /api/v0.1/hansard/entries/873937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873937/?format=api",
    "text_counter": 220,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi North, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Owen Baya",
    "speaker": {
        "id": 13373,
        "legal_name": "Owen Yaa Baya",
        "slug": "owen-yaa-baya"
    },
    "content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, nafikiria ni nidhamu ya Bunge kwamba kama Hoja imeandikwa kwa lugha fulani, iendelezwe mpaka iishe katika ile lugha. Hii Hoja imeandikwa kwa lugha ya Kiswahili. Ibara ya hapa Bunge inasema kwamba Hoja indelezwe kaika ile lugha imeandikwa."
}