GET /api/v0.1/hansard/entries/873938/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873938,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873938/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Christopher Omulele",
"speaker_title": "The Temporary Deputy Speaker",
"speaker": {
"id": 2145,
"legal_name": "Christopher Omulele",
"slug": "christopher-omulele"
},
"content": " Mhe. Baya, nitakuelekeza. Wewe ndiye umekosa nidhamu kwa sababu haujasoma Kanuni za Bunge. Yule wa kuchangia ndiye anachugua lugha ya kutumia. Ukianza kwa Kiswahili, utamalizia kwa Kiswahili na ukianza kwa Kiingereza, utamalizia kwa Kiingereza. Kwa hivyo, Mhe. Oluoch ako sawa katika mchango wake."
}