GET /api/v0.1/hansard/entries/873948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873948,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873948/?format=api",
    "text_counter": 231,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nominated, JP",
    "speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
    "speaker": {
        "id": 13166,
        "legal_name": "David Ole Sankok",
        "slug": "david-ole-sankok"
    },
    "content": "Mwanzo, ninamshukuru Mheshimiwa Ali kwa kutumia fursa hii kuiletea Hoja ambayo ni ya maana sana. Tunawashukuru sana watu wa Eneo Bunge la Nyali ambao walimchagua. Walituletea mtetezi ambaye anajali maslahi sio tu ya watu wa Nyali, lakini ya Wakenya wote."
}