GET /api/v0.1/hansard/entries/873949/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873949,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873949/?format=api",
    "text_counter": 232,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nominated, JP",
    "speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
    "speaker": {
        "id": 13166,
        "legal_name": "David Ole Sankok",
        "slug": "david-ole-sankok"
    },
    "content": "Pia, ninamshukuru Mheshmiwa Oluoch kwa sababu ya Mswada ambao tunatarajia utafika hapa. Iwapo utafika, tutashukuru sana. Afya ni kitu muhimu sana kwa wananchi wetu ambao walituchagua. Kwa kweli, ni kama Serikali na sisi katika Bunge hili hatujafikiria sana mambo ya afya katika nchi yetu."
}