GET /api/v0.1/hansard/entries/873953/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873953,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873953/?format=api",
"text_counter": 236,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": "Madaktari waligoma kwa siku mia moja na hili Bunge pamoja na Serikali hatukujitokeza kama vile tulivyojitokeza wakati wa migomo ya waalimu. Hatujatilia maanani mambo ya afya na ndio sababu ninamshukuru Mhe. Mohamed Ali kwa kuileta Hoja hii."
}