GET /api/v0.1/hansard/entries/873955/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873955,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873955/?format=api",
"text_counter": 238,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": "Kama mgonjwa akifariki daktari hatalipwa ada ya hospitali, yule daktari atajaribu juu chini kuokoa maisha kwa sababu hayo maisha yameshikanishwa na pesa zake za huduma. Iwapo daktari hatalipwa mgonjwa akiaga dunia, basi atajaribu vyovyote vile ili aokoe huyu mgonjwa kwa sababu hivyo ni kuokoa pesa zake."
}