GET /api/v0.1/hansard/entries/873956/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873956,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873956/?format=api",
"text_counter": 239,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": "Wakati mwingine tukihimiza Serikali katika Miswada, ni kama kuomba Serikali itusaidie, nao wananchi ambao walijitokeza mapema kutuchagua, wakasimama kwa jua, mvua, vumbi na upepo mwingi wakituomba, wanahuzunika tunapokosa kuwahudumia. Ninamuomba Mhe. Ali abadilishe hiyo sentensi iamrishe Serikali. Hii ni kwa sababu Bunge hili linagawa rasilimali za nchi hii. Tunafaa kutoa amri ya kwamba hamna mgonjwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}