GET /api/v0.1/hansard/entries/873958/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873958,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873958/?format=api",
    "text_counter": 241,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nominated, JP",
    "speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
    "speaker": {
        "id": 13166,
        "legal_name": "David Ole Sankok",
        "slug": "david-ole-sankok"
    },
    "content": "Inasikitisha pia kusikia kwamba mzazi anashindwa kulipa ada ya hospitali ya mtoto wake na inabidi amuibe yule mtoto bila kupenda kwake. Sisi Wabunge na Serikali tulitangaza kwamba matibabu itakuwa bila malipo lakini mgonjwa akifika kule anaambiwa alipe na ikabidi aibe mtoto wake. Hii inahuzunisha sana na ingetakiwa kuamsha kilio cha Bunge hili ili kuamrisha Serikali iweze kulipia watoto ada za hospitali, sio tu wale ambao wamekufa, lakini hata wale ambao wanaishi."
}