GET /api/v0.1/hansard/entries/873959/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873959,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873959/?format=api",
    "text_counter": 242,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nominated, JP",
    "speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
    "speaker": {
        "id": 13166,
        "legal_name": "David Ole Sankok",
        "slug": "david-ole-sankok"
    },
    "content": "Hivi juzi, mama alilazimishwa kubeba maiti ya mtoto wake kwa umbali wa kilometa tano. Hata kama hatuna utu, hata kama sisi tumepata nafasi ya kupata mshahara, mtoto kuaga kwa mikono yako inaumiza roho. Mama huyo alikuwa katika kilio halafu baadaye anaambiwa aipeleke maiti kwa polisi. Kumpoteza mtoto ni uchungu sana na ukibebeshwa hiyo maiti kwa umbali wa kilometa tano ni uchungu zaidi. Sisi Wabunge na hata Serikali hatujatilia maanani umuhimu wa afya ya wanachi wetu."
}