GET /api/v0.1/hansard/entries/873960/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873960,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873960/?format=api",
"text_counter": 243,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": "Kwa hivyo, ningesema kwamba huduma ya afya irudishwe kwa Serikali kuu ili tuweze kuwa na msemo kama Bunge la Taifa. Hata tukijaribu kupitisha Hoja kama hii, itabidi iende katika Seneti au bunge za kauti ili iweze kupitishwa. Kama afya ingekuwa katika Serikali kuu ingekuwa rahisi kwetu kupitisha Hoja hii. Kwa hayo mengi, naunga mkono Hoja hii mia kwa mia ili iweze kuwasaidia wananchi wetu, haswa kwa maneno ya afya."
}