GET /api/v0.1/hansard/entries/873961/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873961,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873961/?format=api",
    "text_counter": 244,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nominated, JP",
    "speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
    "speaker": {
        "id": 13166,
        "legal_name": "David Ole Sankok",
        "slug": "david-ole-sankok"
    },
    "content": "Pia, ningetaka kuwashukuru sana watu wa Nyali kwa sababu inaonekana kwamba ule uchunguzi Mhe. Mohamed Ali alikuwa akifanya katika Jicho Pevu haukuwa wa bure. Amekuwa na jicho pevu la kuangalia maslahi ya Wakenya wote, sio watu wa Nyali peke yao. Kwa hivyo, na waambia asante sana. Pia, ninawahimiza Wakenya kuchagua vijana chupavu kama Mhe. Mohamed Ali ili tuwe na Bunge ambalo litaleta Miswada ya maana ya kuwasaidia wananchi wa taifa la Kenya."
}