GET /api/v0.1/hansard/entries/873963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873963,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873963/?format=api",
"text_counter": 246,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Christopher Omulele",
"speaker_title": "The Temporary Deputy Speaker",
"speaker": {
"id": 2145,
"legal_name": "Christopher Omulele",
"slug": "christopher-omulele"
},
"content": " Mhe. Sankok, umempatia Mhe. Mohamed Ali wa Nyali sifa chungu nzima na hii ni sawa. Changamoto ni kwako kwa sababu umesema hili ni Jumba ambalo linaunda Bajeti. Kwa hivyo, katika Mswada wa kuunda Bajeti tutakutegemea wewe uweze kuleta mchango wako na marekebisho ya kuweka haya mawazo ya mwenzetu, Mhe. Mohamed ili watu wetu waweze kuondolewa huo mzigo. Kwa wakati huu, nitampatia nafasi Mbunge wa Kauti ya Kilifi aweze kupeana mchango wake."
}