GET /api/v0.1/hansard/entries/873964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873964,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873964/?format=api",
    "text_counter": 247,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": {
        "id": 13245,
        "legal_name": "Gertrude Mbeyu Mwanyanje",
        "slug": "gertrude-mbeyu-mwanyanje"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nataka kuchukua fursa hii kumpongeza kakangu mdogo, Mhe. Mohamed Ali wa Nyali kwa kuileta Hoja hii isemayo kwamba tuweze kufutilia mbali ada za matitabu katika hospitali zote za umma na za rufaa pindi tu mtu anapofariki."
}