GET /api/v0.1/hansard/entries/873965/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873965,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873965/?format=api",
    "text_counter": 248,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": {
        "id": 13245,
        "legal_name": "Gertrude Mbeyu Mwanyanje",
        "slug": "gertrude-mbeyu-mwanyanje"
    },
    "content": "Hii ni Hoja muhimu sana. Nimengonja wakati huu niweze kuchangia kwa sababu natoka kwenye gatuzi lenye umaskini mwingi sana. Kulipa ada za matatibu na zile za mtu anapofariki pale mochari ni ada kubwa kwa watu wetu na Wakenya wote. Yale magonjwa ambayo gharama yake iko juu watu wetu hawawezi kumudu kulipia. Ijapo tumewahimiza watu wetu wajiandikishe katika huduma ya afya ya NHIF, inaweza kupunguza kidogo tu na si watu wote ambao wameweza kujiandikisha."
}