GET /api/v0.1/hansard/entries/873966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 873966,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873966/?format=api",
    "text_counter": 249,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": {
        "id": 13245,
        "legal_name": "Gertrude Mbeyu Mwanyanje",
        "slug": "gertrude-mbeyu-mwanyanje"
    },
    "content": "Magonjwa kama saratani, pressure, sukari, uvimbe ama fibroids kwa akina mama yanatibiwa kutumia pesa nyingi katika hospitali zote za umma ama za kibinafsi. Imefika wakati tuweze kutetea watu wetu ili ada hizi ziweze kufutiliwa mbali. Mtu anayeugua ugonjwa wa saratani, mpaka kifo chake, hutumia pesa nyingi sana kulipia matibabu. Anapofariki, anahitaji The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}