GET /api/v0.1/hansard/entries/873967/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 873967,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873967/?format=api",
"text_counter": 250,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi CWR, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Gertrude Mwanyanje",
"speaker": {
"id": 13245,
"legal_name": "Gertrude Mbeyu Mwanyanje",
"slug": "gertrude-mbeyu-mwanyanje"
},
"content": "watu wengi kuchangia ada ya hospitali. Viongozi wengi tunapatikana katika hili janga. Inabidi tusaidie kulipa pesa za matibabu na pengine mgonjwa alikuwa amelazwa kwa muda wa miezi miwili au mitatu. Pia, inabidi tulipe ada ya mochari na pia kusimamia mazishi."
}