GET /api/v0.1/hansard/entries/874007/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 874007,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/874007/?format=api",
    "text_counter": 290,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kajiado CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Teyiaa",
    "speaker": {
        "id": 13239,
        "legal_name": "Janet Marania Teyiaa",
        "slug": "janet-marania-teyiaa"
    },
    "content": "Naomba Serikali hii itusaidie, ili kila zahanati iweze kupata dawa ya kutosha na vifaa vinavyostahili ile tuweze kupata usaidizi. Kwa hivyo, ningependa kushukuru Mhe. Ali, kwa kuleta Hoja hii. Tungeomba aendelee ili iwe Mswada. Isiwe tu ni kitu ambacho kinaishia hapa. Asanteni sana na ninaunga mkono Hoja hii."
}