GET /api/v0.1/hansard/entries/874014/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 874014,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/874014/?format=api",
"text_counter": 297,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": {
"id": 13126,
"legal_name": "Liza Chelule",
"slug": "liza-chelule"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi pia mimi kama Mbunge kutoka kaunti ya Nakuru kuchangia Hoja ambayo imeletwa katika Bunge hili na Mhe. Mohamed Ali wa Nyali. Kwanza, nitataka kupongeza Wabunge wenzangu ambao wameongea mbele yangu. Wamesema mambo ambayo yanagusa wananchi wa nchi hii."
}