GET /api/v0.1/hansard/entries/874015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 874015,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/874015/?format=api",
    "text_counter": 298,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": {
        "id": 13126,
        "legal_name": "Liza Chelule",
        "slug": "liza-chelule"
    },
    "content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, hujawahi ona watu wakiteseka; mtu anapelekwa hospitali akiwa mgonjwa; anakaa hospitali mwezi mmoja ama hata mwaka halafu anakufa. Mwili unawekwa kwa sababu wameshindwa kulipa pesa. Ni taabu sana. Kwa hivyo wale Wabunge ambao wameongea mbele yangu ninawaunga sana mkono na ninampongeza sana Mheshimiwa aliyaleta hii Hoja."
}