GET /api/v0.1/hansard/entries/874016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 874016,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/874016/?format=api",
"text_counter": 299,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": {
"id": 13126,
"legal_name": "Liza Chelule",
"slug": "liza-chelule"
},
"content": "Sisi kama Wabunge, haya ni mambo ambayo yanatuhusu kama vingozi. Shida na wasiwasi wangu leo ninapoongea ni Kamati Tekelezi. Inatupatia wasiwasi sana kwa sababu hii ni Hoja ambayo itasaidia wananchi wa Kenya. Tunaelewa watu wanateseka sana. Mambo ya ugonjwa wa saratani umeleta shida kwa wananchi wote wa Kenya hata sisi Wabunge."
}