GET /api/v0.1/hansard/entries/874017/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 874017,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/874017/?format=api",
"text_counter": 300,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": {
"id": 13126,
"legal_name": "Liza Chelule",
"slug": "liza-chelule"
},
"content": "Sisi wote tunaelewa huu ni ugonjwa ambao hauna tiba na umetatiza kila mtu. Ni ugonjwa ambao unachukua nafasi kubwa sana na gharama yake iko juu. Tunapoongea tunafanya hivyo kwa niaba ya wale wananchi waliotuchagua na wanajua kwamba Bunge hili letu la taifa lina nguvu na uwezo wa kufutilia mbali ada ambazo zinatozwa kwa wale watu wako hospitali haswa kwa sababu ya magonjwa yasiyo na tiba kama saratani."
}