GET /api/v0.1/hansard/entries/874018/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 874018,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/874018/?format=api",
    "text_counter": 301,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": {
        "id": 13126,
        "legal_name": "Liza Chelule",
        "slug": "liza-chelule"
    },
    "content": "Wananchi wa Kenya wako na shida sana kwa mambo ya matibabu. Ningependa kuchukua hii nafasi kuhimiza kamati inayohusika na mambo ya afya kwamba badala ya kutoka nchi hii kujifunza mambo yanayohusu kamati yao, afadhali wazunguke katika hospitali za Kenya."
}